Kifo cha Muigizaji nguli wa Tanzania Marehemu Steven Charles Kanumba aliyefariki usiku wa kuamkia jumamosi ya tarehe 07.04.2012 amezikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar-esalam siku ya 10.04.2012.
Marehemu Kanumba alizaliwa 08.01.2012 katika hospitali ya mkoa wa shinyanga alisoma shule ya msingi Bugoi iliyoko shinyanga njini kilometa 5 kutoka kituo cha maarifa centre na badae kujiunga na shule ya sekondari Mwadui Sekondari ndipo alipohamia jijini Dar-esalam na kujiunga na kituo cha mafunzo ya sanaa KAOLE GROUP ndipo maisaha ya uigizaji ya Marahemu Kanumba .Steven Kanuba anefariki akiwa na umri wa miaka 28 hadi mauti imekuta hajaacha mke wala mtoto.Filamu zitakazo kumbukwa na pamoja na Uncle JJ,
Young Billionaire,King of Devil .nk Kiukweli ni pigo kwa nhi ya Tanzania na Kwa tasinia ya Sanaa nchini Tanzania je wewe unamjuaje Marehemu Steven Kanumba?????????????????
No comments:
Post a Comment