Upatikanaji wa uyoga huhitaji yafuatayo:
- Maandalizi ya mbolea
- upatikanaji wa mbegu
- Mifuko ya kupandia
Uyoga upo wa aina mbalimbali ambapo kuna uyoga kwa ajili ya chakula na uyoga usioliwa baadhi ya uyoga unaopatikana Tanzania ni pamoja na
- Oyster(Plerotus)
- Button(Agricus)
- Shitake(Lentinula edodes)
- Chinese Mushroom(Ganoderma)
- Haina Gharama ya eneo
- Hukua haraka (Muda wa kuotesha hadi kuvuna ni siku 28-35tu)
- Matumizi ya taka zinatokana na kilimo kwa ajili ya uzalishaji kama miwa,ndizi,majani,nyuzi,mahindi,maharagwe,na majani ya ngano.