10 CAL ARTISAN(MAFUNDI WASHI) WAMEPATIWA MAFUNZO YA KUJENGA NA KUTUMIA MAJIKO SANIFU KUTOKA SHINYANGA MAARIFA CETRE KWA USHIRIKIANO NA KITUO CHA NISHATI MBADALA(TaTEDO) .MAFUNZO YALIFANYAKIA KATIKA KIJIJI CHA BULIMA.
Mafunzo haya yanalenga wanachama wa ALIN na mafundi washi ili kuondokana au kupunguza uharibifu wa mazingira hasa ukataji wa miti kwa ajili ya vyanzo vya nishati
kwa matumizi ya mkulima kijijini anatumia mikokoteni mitatu inayovutwa na ng'ombe kwa hali ambayo ikiendelea kutakuwa na uharibifu mkubwa wa misitu na kusababisha kuwepo kwa mabadiliko ya tabia nchi
Shinyanga maarifa centre ni kituo cha kupashana habari kilichopo shinyanga Mjini. Kituo hiki kilianzishwa mwaka 2007 chini ya usimamizi wa shirika lisilo la kiserikali linaloitwa ALIN lenye makao makuu yake nchini Kenya kwa ushirikiano na kituo cha misitu shinyanga NAFRAC
Friday, August 24, 2012
Tuesday, April 17, 2012
Library and Access point
ICT training chamber and the training is proceeding .
Huu ndio muonekana wa kituo cha Maarifa centre ndani ya kituo chetu kwani tumetenganisha sehenu ya kuendeshea mafunzo ya kompyuta(ICT training) na Access point (sehemu ya huduma ya internet) na huu ndio muonekano wake.Mabadiliko haya yamefanywa kwa ushirikiano wa The Team from ALIN akiwemo Noah Lusaka( Project Manager),Kibe na Tonny bila kumsahau Msimamizi wa kituo (FIELD OFFICER) .
Willison Malongo (Aliyevaa Kofia ):mafunzo ya kompyuta ni mazuri sana na yamenisaidia katika kuboresha kazi yangu na sasa hivi nafundisha wanafunzi wa chuo cha Uwalimu SHYCOM kozi ya Kompyuta hivyo basi sio tu nimejifunza kutumia kompyuta badala yake nimepata kazi ya kufundisha kwani pamoja na hali yangu ya kutumia mkono mmoja sikukata tamaa na ninaishi na kufanya kazi kama mtu mwingine aliye na viungo vyake vyote.Nashukuru sana Kituo cha Shinyanga Maarifa Centre kwa kutupatia elimu hii ya kompyuta tena bila gharama yoyote .Bila kuwasahau ALIN TEAM iliyokuja wanaoendelea kusaidia vifaa vya kufundishia zikiwemo Computer(IVENNO).
Kifo cha Muigizaji nguli wa Tanzania Marehemu Steven Charles Kanumba aliyefariki usiku wa kuamkia jumamosi ya tarehe 07.04.2012 amezikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar-esalam siku ya 10.04.2012.
Marehemu Kanumba alizaliwa 08.01.2012 katika hospitali ya mkoa wa shinyanga alisoma shule ya msingi Bugoi iliyoko shinyanga njini kilometa 5 kutoka kituo cha maarifa centre na badae kujiunga na shule ya sekondari Mwadui Sekondari ndipo alipohamia jijini Dar-esalam na kujiunga na kituo cha mafunzo ya sanaa KAOLE GROUP ndipo maisaha ya uigizaji ya Marahemu Kanumba .Steven Kanuba anefariki akiwa na umri wa miaka 28 hadi mauti imekuta hajaacha mke wala mtoto.Filamu zitakazo kumbukwa na pamoja na Uncle JJ,
Young Billionaire,King of Devil .nk Kiukweli ni pigo kwa nhi ya Tanzania na Kwa tasinia ya Sanaa nchini Tanzania je wewe unamjuaje Marehemu Steven Kanumba?????????????????

Moja kati ya huduma zitolewazo kwa jamii bila gharama yoyote ni pamoja na huduma ya Maktaba hii imetokana na mahitaji ya wakazi wa Shinyanga walioko karibu na Kituo cha Maarifa Centre na kituo hiki kimesaidia wanafunzi wa chuo cha afya (HEALTH COLLAGE) kilichopo Kolandoto Shinyanga nje kidogo umbali wa kilometa 15 kutoka Kituo cha Maarifa Centre.
Henri Thomas (21)ambaye ni mwanafunzi wa chuo hicho ametumia kituo chetu hasa kujisomea vitabu tulivyonavyo ambavyo tuho navyo na amefaulu katika somo ambalo alikuwa linamsumbua (ANATOMY) ambalo alikuwa akipata alama 56% hadi 85%.

Subscribe to:
Posts (Atom)